Home Soka Bigirimana,Mustapha Matatani Yanga

Bigirimana,Mustapha Matatani Yanga

by Sports Leo
0 comments

Inaelezwa kua uongozi wa Yanga unaweza kutemana na mastaa kadhaa wa kimataifa baada ya kushindwa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo kutokana na kushindwa kuonyesha viwango vizuri katika mechi walizocheza.

Kaimu kocha mkuu wa klabu hiyo Bonifasi Mkwasa ana mpango wa kutemana na mastaa Issa Bigirimana,Mustapha selemani na Mybin Kalengo kutokana na kushindwa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo kutokana na sababu mbalimbali.

Kalengo na Bigirimana wamekua wahanga wa majeraha ya mara kwa mara huku Mustapha akishindwa kupata namba mbele ya Kelvin Yondani na Lamine Moro hivyo kuishia benchi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited