Shirikisho la soka barani Afrika (Caf) limesitisha mechi zote za kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon) baada ya kusambaa kwa virusi vya ugonjwa wa Corona barani Afrika.
Caf imefikia hatua hiyo baada ya kujiridhisha kuwa ugonjwa huo unaonezwa kwa njia ya hewa umeanza kusambaa barani Afrika huku tayari nchi kama Misri na Kenya zimeripoti kuwa na maambukizi nchini Mwao.
Kusimamishwa kwa mechi hizo inamaanisha kuwa mechi baina ya Tanzania na Tunisia iliyikuwa ichezwe mjini Tunis imeghairishwa mpaka hapo baadae.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.