Barcelona imekamilisha usajili wa mshambuliaji Mephis Dapay kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Lyon Fc ya nchini Ufaransa.
Depay aliyewika na Manchester United kisha akapotea na kusababisha Man utd kumuuza kwenda Lyon Fc ambako ameng’aa na kuwavutia Barcelona kumsajili mshambuliaji huyo mwenye mwili ulioshiba.