Gwiji la soka nchini Ujerumani Gerd Muller na klabu ya soka ya Bayern Munich amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75 taarifa kutoka klabu yake hiyo ya zamani ikithibitisha.
Mshindi huyo wa kombe la dunia mwaka 1974 akiwa na kikosi cha Ujerumani anatajwa kuwa mmoja kati ya washambuliaji hatari kuwahi kutokea.
Muller anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi katika michuano mimoja ya kombe la dunia akifunga magoli 10 mwaka 1970 akichukua pia tuzo ya Ballon d’Or mwaka huo.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.