Home Soka Gomez Ataka Mastaa 5 Simba sc

Gomez Ataka Mastaa 5 Simba sc

by Sports Leo
0 comments

Kocha mkuu wa klabu ya Simba Didier Gomes ameuambia uongozi wa klabu hiyo kuwa kwenye usajili wa msimu ujao anahitaji wachezaji 5 wapya wa nguvu ikiwa wachezaji wawili wa Kimataifa na watatu wakiwa wachezaji wa ndani.

Kwenye ripoti ya Gomes inaonesha kuwa anahitaji mabeki wawili (kushoto na Kati) Viungo wawili na mshambuliaji mmoja,

Kwenye ripoti hiyo Gomes anataka viungo wawili (mkabaji na mshambuliaji) pamoja na mshambuliaji mmoja wa kati mwenye uwezo wa kuwazidi akina Kagere, Mugalu na Bocco,

banner

Pia Gomes ameishauri klabu ya Simba kuachana na wachezaji 3 wazawa na wawili wa kimataifa (mmojawapo Kahata) na ameuomba uongozi wa klabu hiyo kumtoa kwa mkopo perfect Chikwende ambapo uongozi wa klabu hiyo unafikiria kmtyafutia timu nje ya nchi.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited