Home Soka Haaland Atwaa ”Golden Boy”

Haaland Atwaa ”Golden Boy”

by Sports Leo
0 comments

Kinda wa Borrussia Dortmund Erlin Haaland ametwaa tuzo ya mchezaji bora kijana ”Golden Boy” inayotolewa na Gazwti la Tuttosport la nchini Italia.

Haaland amewashinda Jadon Sancho,Vinicius Jr,Ansu Fati pamoja na Mason Greenwood huku pia Joao Felix aliyechukua tuzo hiyo msimu uliopita naye akichemka mbele ya Haaland.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited