Kocha wa klabu ya Simba sc Sven Vandebroek amewaanzisha Benno Kakolanya na Yusuph Mlipili katika mechi dhidi ya Namungo mkoani Mtwara itakayochezwa katika uwanja wa Majaliwa.Kikosi kilichoanza ni:
01. Beno Kakolanya
02. Haruna Shamte
03. Mohamed Hussein
04. Yusuph Mlipili
05. Tairone Santos
06. Said Ndemla
07. Miraji Athumani
08. Mzamiru Yassiini
09. Meddie Kagere
10. Ibrahim Ajibu
11. Francis Kahata