Ngoy Awekewa Mkataba Mpya Namungo FC: Uongozi Waanza Mazungumzo Kabla ya Mwisho wa Msimu

Ngoy Awekewa Mkataba Mpya Namungo FC: Uongozi Waanza Mazungumzo Kabla ya Mwisho wa Msimu

Ngoy awekewa mkataba mpya Namungo FC baada ya uongozi wa klabu hiyo kuanza mazungumzo ya kumpa mshambuliaji huyo Mkongomani mkataba wa miaka miwili kabla ya mkataba wake wa sasa kumalizika mwishoni mwa msimu wa 2025/2026 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Yaliyomo (Table of Contents) Namungo FC Yaweka Mkazo kwa Ngoy Katika jitihada za kuimarisha kikosi…

Soma Zaidi
Screenshot 20250217 140718 Instagram

Simba Sc Yampiga Pini Karabaka

Klabu ya Simba Sc leo imeondoka kuelekea mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya klabu ya Namungo Fc  utakaopigwa siku ya jumanne katika  uwanja wa Majaliwa stadium. Kwenye mchezo huo Namungo Fc itamkosa kiungo wake Saleh Karabaka ambaye alisajiliwa kwa mkopo kutoka Simba na mkataba wao unasema hawezi kucheza…

Soma Zaidi
FB IMG 1732814556936

Yanga sc Kuwakosa Aucho,Mzize

Kikosi cha Yanga Sc kitaendelea kuwakosa wachezaji wake Khalid Aucho, Clement Mzize ambao ni majeruhi huku Ibrahim Bacca naye akikosekana kutokana na kutumikia adhabu ya kadi nyekundu. Msafara wa Yanga sc tayari leo umewasili Ruangwa,Lindi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Namungo FC utakaofanyika siku ya Jumamosi, Novemba 30 katika uwanja wa Majaliwa mkoani humo….

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks