Home Soka Kapombe Asaini Simba sc

Kapombe Asaini Simba sc

by Sports Leo
0 comments

Beki wa pembeni wa klabu ya Simba sc Shomari Kapombe amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa miaka miwili zaidi baada ya ule wa awali kuelekea ukingoni.

Kapombe amesaini mkataba huo na kumaliza uvumi wa kuhitajika katika timu ya Far Rabat inayoshiriki ligikuu nchini Morroco ambayo inanolewa na kocha wa zamani wa timu ya Simba sc Sven Vandebroek.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited