Timu ya soka ya Kmc imepoteza mchezo wa ligi kuu nyumbani baada ya kufungwa 2-1 na Kagera sugar katika mchezo uliofanyika jijini Dar es salaam katika uwanja wa uhuru.
Mabao ya Kagera Sugar yaliwekwa kimiani na Awesu Ally dakika ya 25 kwa njia ya penati na Peter Mwalyanzi dakika ya 48 na kuwahakikishia vijana hao kutoka bukoba kuondoka na pointi tatu huku Kmc wakipata bao la kufutia machozi dakika Serge Alain dakika 87.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.