Home Soka Makambo avunja mkataba na Horoya

Makambo avunja mkataba na Horoya

by Sports Leo
0 comments

Mshambuliaji wa klabu ya Horoya ya Guinea Mkongomani Heritier Makambo amefikia makubaliano  kuvunja mkataba na timu kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Makambo alijiunga na Horoya 2019 akitokea kwa wananchi Yanga Afrika alikocheza kwa mafanikio makubwa kwa kufunga mabao 18 ya ligi kuu ya Vodacom kabla ya kuondoka.

Hatua hiyo inahusishwa na mshambuliaji huyo kutakiwa tena na waajiri wake wa zamani ambao wamekuwa wakihaha kupata mrithi wake tangu aondoke bila mafanikio,licha ya kusajiri washambulia kadhaa kama Juma Balinya,David Molinga,Yikpe,Sarpong,Waziri Junior na Nchimbi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited