Home Soka Manara ‘Out’ Msimbazi

Manara ‘Out’ Msimbazi

by Sports Leo
0 comments

Taarifa iliyotolewa na klabu ya Simba sc imeonyesha kumteua Ezekiel Kamwaga kuwa kaimu mkuu wa Idara ya Habari ya klabu hiyo kuchukua nafasi ya Haji Manara ambae bodi imeridhia ombi lake la kujiuzuru nafasi hiyo ya pendwa na mashabiki wa klabu hiyo.

Kwa mujibu wa barua hiyo Kamwaga ambae ni mwandishi wa habari mkongwe atakua na jukumu la kufumua Idara hiyo ili kutengeneza muundo mpya wa idara hiyo ili kuleta ufanisi katika kipindi hicho kisha klabu itatangaza nafasi za kazi rasmi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited