Home Soka Mastaa Kupishana Jangwani

Mastaa Kupishana Jangwani

by Sports Leo
0 comments

Wakati dirisha la usajili likifunguliwa hivi karibuni baadhi ya masta watapishana katika milango ya kuingia katika klabu ya soka ya Yanga baada ya timu hiyo kuanza kuwafatilia baadhi ya mastaa ili kuwasajili kuboresha kikosi chao.

Licha ya usajili pia baadhi ya mastaa watatemwa ili kupisha nafasi kwa wachezaji wapya huku majina kama Mwarami Issa,Mustapha Selemani,Rafael Daud yakiwa hatarini kutokana na kutoonesha kiwango katika timu hiyo hali inayotishia nafasi zao.

Mastaa wanaotajwa kuwaniwa na timu hiyo ni pamoja na Haruna Niyonzima,Haji Mwinyi waliondoka klabu hapo huku Erick Rutanga akitajwa kuja baada ya usajili wake kukwama hapo awali huku staa wa Coastal union Ayubu Lyanga nae akihusishwa.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited