Home Soka McTominay Hadi 2025

McTominay Hadi 2025

by Sports Leo
0 comments

Kiungo wa klabu ya Manchester United Scott Mctominay amesaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo mpaka mwaka 2025 huku kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.

Kinda  huyo  mwenye miaka 23 aliyechipukia kutoka akademi ya timu hiyo alianza kupewa nafasi mwaka 2017 na hatimaye kucheza michezo 75 akifunga magoli 6 klabuni hapo.

“Tuna mengi ya kufikiria kipindi hiki lakini nina furaha kusaini mkataba mpya na kutoa mchango mbeleni katika timu hii”Alisema kiungo huyo.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited