Home Soka Metacha,Makame Akili Ulaya Tu

Metacha,Makame Akili Ulaya Tu

by Sports Leo
0 comments

Wachezaji wa Yanga Metacha Mnata na Abdulaziz Makame ‘Bui’ wamesajiliwa na kampuni ya AfriSoccer ambayo inahusika na uwakala wa kuwatafutia wachezaji timu nje ya nchi ili wapate nafasi ya kucheza za ulaya.
Kampuni hiyo imewasajili Metacha na Bui baada ya kuvutiwa na uwezo wa Nyota hao ambao pia wako timu ya Taifa, watakuwa na nafasi ya kujaribu bahati yao nje ya nchi kama zitatokea timu kuwahitaji

Hata hivyo kwa sasa wana mikataba na Yanga, ikitokea timu kuwahitaji, italazimika kumalizana na Yanga kwanza kitu ambacho kinaweza kuleta ugumu kwani timu nyingi za nje hupenda wachezaji waliomaliza mikataba ili kuepuka gharama.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited