Home Soka Mgunda Afunguka Kuhusu Manula Stars

Mgunda Afunguka Kuhusu Manula Stars

by Dennis Msotwa
0 comments

Kocha msaidizi wa timu ya taifa Juma Mgunda hatimaye amevunja ukimya baada ya kamua kufunguka juu ya kukosekana kwa golikipa wa klabu ya Simba sc Aishi Manula katika kikosi cha taifa stars kiliingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Equetorial Guinnea.

Jumla ya wachezaji 27 waliitwa na makocha hao ili kujiunga na stars lakini jina la kipa huyo wa Simba sc halikuwemo na kuzua maneno miongoni mwa wadau wa soka nchini ikiwa toka makocha hao wameteuliwa hawajawahi kumuita kipa huyo kikosini.

“Hii ni timu ya taifa kama kakosekana yeye hakuna tabu,mbona wakati yeye yupo na wenzake walikua hawaitwi na ilikua kawaida na hata kaseja alikosekana kwa miaka sita lakini leo amerejea”. alisema Mgunda.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited