manula

Manula Basi Tena Simba Sc

Golikipa wa Simba sc na Timu ya Taifa ya Tanzania Aishi Manula ataikosa michezo miwili ya robo fainali ya Klabu yake ya Simba dhidi ya Al Ahly kutokana na kupata majeraha akiwa na Timu ya Taifa ilipokua ikicheza na Bulgaria nchini Azerbaijan. Manula aliumia kipindi cha kwanza katika mchezo huo na taarifa zinaeleza kuwa Manula…

Soma Zaidi
manula

Manula Fiti Kuwavaa Al Ahly

Kocha wa Simba sc Roberto Oliveira ameonyeshwa kufurahishwa na kiwango cha Aishi Manula tangu ajiunge rasmi na mazoezi ya timu hiyo baada ya kuwa nje kwa takribani miezi sita akijuguza majeraha ya mguu. Kipa huyo alikua nje ya uwanja baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika ya kusini mwishoni kabisa mwa msimu uliopita ambapo…

Soma Zaidi
manula

Manula Arejea Rasmi

Sasa ni rasmi klabu ya Simba sc imetangaza kurejea kwa kipa Aishi Manula aliyekua na majeraha ya muda mrefu ambapo alikaa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi takribani sita sasa baada ya kuumia goti na kulazimika kufanyiwa upasuaji. Kwa mujibu wa taarifa kutoka klabu ya Simba sc ni rasmi kipa huyo ameanza mazoezi na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks