Mgunda Apaa Kujiunga As Vita
Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Mashujaa Fc Ismail Mgunda ameondoka nchini leo hii kuelekea nchini DR Congo kujiunga na timu ya As Vita iliyomsajili katika dirisha dogo la usajili mwezi huu. Mgunda amejiunga na As Vita baada ya kupendekezwa na kocha Yousouph Dabo aliyekua anaifundisha Azam Fc msimu uliopita ambaye aliwaomba mabosi wa klabu ya…
