Home Soka Mhilu atua Simba sc

Mhilu atua Simba sc

by Sports Leo
0 comments

Mshambuliaji wa Kagera sugar Yusuph Mhilu amejiunga na mabingwa watetezi wa ligi kuu bara klabu ya soka ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili.

Mchezaji huyo aliyefunga mabao 9 msimu huu amejiunga Simba sc akiwa mchezaji huru.

Mhilu aliwahi kucheza kwa wapinzani wa jadi wa Simba klabu ya soka ya Yanga msimu wa 2018/2019 kabla ya kujiunga na Kagera alikocheza kwa mafanikio.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited