Home Soka Msuva,Samatta Kuwasili Stars

Msuva,Samatta Kuwasili Stars

by Sports Leo
0 comments

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Taifa Stars Mbwana Samatta ‘Poppa’ na washambuliaji Simon Msuva na Yohana Mkomola wanatarajiwa kuwasili kwenye kambi ya timu hiyo mapema Leo.
Taarifa kutoka Jijini Nairobi, Kenya ilipo kambi ya Stars zinaeleza kuwa nyota hao watatu watawasiri mapema kesho nchini humo tayari kwa kuungana na wenzao ambao wapo hapo kambini tangu Machi 13 mwaka huu.
Nyota hao walichelewa kufika kambini hapo kutokana na kuwa na majukumu mengine ya klabu zao, Samatta Akiwa Fenerbahce ya Uturuki, Msuva akiwa  Wydad Casablanca ya Morocco  na Mkomola akiwa Ingulets Petrove ya Ukraine.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited