Upo uwezekano mkubwa Yanga itamuuza mshambuliaji wake Ditram Nchimbi kwa klabu moja inayoshiriki ligi kuu ya Misri
Timu hiyo ambayo kwa sasa haitawekwa wazi, iko kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga kukamilisha usajili wake
Dili kama hilo pia litamuhusu kiungo Feisal Salum ambaye nae anaweza kutimkia nchini humo
Lakini nyota hao wametakiwa kwenda kufanya majaribio kabla ya dili zao kukamilishwa