Feisal Ageuka Lulu Afrika Kusini
Ripoti kutoka Afrika Kusini zinaeleza kuwa kiungo wa Azam FC,Feisal Salum yupo katika rada za klabu ya Kaizer Chiefs ambayo inanolewa na Nassredine nabi ambaye aliwahi kufanya nae kazi wakati huo wakiwa Young Africans pamoja na Cedric Kaze ambaye kwa sasa ni msaidizi wa Nabi. Inaelezwa kuwa Nabi anahitaji kuongeza nguvu katika kikosi hicho na…
