Serengeti kuwavaa Senegal

Serengeti kuwavaa Senegal

Serengeti kuwavaa Senegal katika fainali ya AFCON U-17 2026 ni historia mpya kwa Tanzania. Soma uchambuzi kamili wa safari ya Serengeti Boys kuelekea ubingwa dhidi ya Senegal. Serengeti kuwavaa Senegal: Serengeti Boys Waandika Historia Fainali ya AFCON U-17 Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, imeandika historia mpya baada…

Soma Zaidi
AFCON2025 Je unasemaje kuhusu ‘perfomance ya Mo Salah kwenye game hii….FT Misri 2 1 Zimbab 2

Zimbabwe Yakubali Kipigo Jioniii

Kazi imeanza rasmi! Ndio, pazia la Kundi B la michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) lilianza kwa vishindo Jumatatu iliyopita, pale Mashetani Wekundu wa Misri walipolazimika kutumia akili ya ziada kuwachapa wapinzani wao shupavu, Zimbabwe, kwa ushindi mwembamba wa 2-1 katika Mtanange uliopigwa kwenye Uwanja wa Stade Adrar, Agadir, Mchezo huo ulikuwa ni…

Soma Zaidi
450120604 18428643571071034 3829249645160956789 n

Simba Sc Yaingia Kambini Misri

Klabu ya Simba sc imeingia nchini Misri katika jiji la Ismailia kwa ajili kambi maalumu ya maandalizi ya msimu mpya (Pre-seasons) ikiwa na mastaa wake wapya wote iliowasajili msimu huu. Kikosi hicho kimesafiri Julai 8 jioni na tayari sasa kimeshawasili nchini humo kwa ajili ya maandalizi hayo huku benchi la ufundi likiongozwa na kocha Fadlu…

Soma Zaidi
images

Afcon Yamponza Gabaski

Klabu ya Al Ahly imesitisha usajili wa golikipa wa klabu ya National Bank ya Misri Mohamed Abou Gabal “Gabaski” siku tatu baada ya kumsajili kwa mkopo kuziba nafasi ya El Shanawy aliyeumia akiitumikia timu ya Taifa ya Misri. Chanzo cha kusitishwa kwa mkataba huo ni kutokana na kutokuelewana kati ya nyota huyo na mshambuliaji wa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks