Home Soka Pogba Aiweka Kileleni Man United

Pogba Aiweka Kileleni Man United

by Sports Leo
0 comments

Bao la Paul Pogba dhidi ya Bunley limeipa alama tatu Manchester United na kuifanya ikae juu ya msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza.

Man united ilipata bao hilo baada ya Pogba kupokea pasi ya Marcus Rashford na kupiga shuti lililomshinda golikipa na kusababisha Man united kuongoza ligi ikiwa na alama 36 baada ya kucheza michezo 17 huku Liverpool wakishika nafasi ya pili wakiwa na alama 33 huku wakiwa wamecheza michezo sawa na Man utd.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited