Home Soka Samata Awafungukia Guinnea

Samata Awafungukia Guinnea

by Sports Leo
0 comments

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) Mbwana Samata ameamua kufunguka kuelekea mechi dhidi ya Equatorial Guinnea katika kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika zitakazofanyika nchini Cameroon mwaka 2021.

Staa huyo anayekipiga Genk ya ubeligiji amesema kuwa haifahamu kabisa timu hiyo na atapambana vilivyo kuhakikisha taifa stars inafuzu.

“Binafsi siifahamu Equatorial Guinea wala wachezaji wake, lakini hatutakiwi kuidharau yasije yakatukuta kama yale ya Lesotho mwaka jana hapa nyumbani, tunapaswa kucheza kwa kujituma ili kushinda nyumbani,” maneno ya Captain Mbwana Samatta.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited