Shirikisho la soka nchini (Tff) kupitia kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kuingilia kati suala hilo ili kuhakikisha haki inatendeka.
Kamati hiyo iliwaita wahusika pande zote mbili oktoba 18 ambapo baada ya kusikiliza utetezi wa pande zote iliamuru pande hizo zimalize tofauti zao ndani ya siku 14 vinginevyo kamati itatoa uamuzi kadri itakavyoona inafaa.
Mwanasheria wa Tff Seleman Kidifu alithibitisha kufanyika kwa kikao hicho “Ni kweli tulikaa kikao siku hiyo na baada ya mivutano tukaona tuwape muda wakamalizane wao kwa wao kabla ya sisi kutoa maamuzi yetu kama wakishindwana”.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.