Ni kama Timu ya taifa ya Uganda imeshafuzu hatua ya mtoano wa michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri baada ya jana kuibuka na ushindi wa magoli mawili kwa moja dhidi …
AFCON 2019
-
-
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda amewasili nchini Misri kwenda kuipa hamasa timu ya taifa ya Tanzania kufuatia kupoteza mechi ya awali dhidi ya Senegali kwa mabao …
-
Beki mkongwe wa Tanzania Erasto Edward Nyoni ambaye alikua na majeraha yaliyomfanya kukosa mchezo wa ufunguzi wa fainali za mataifa ya Afrika(Afcon) dhidi ya Senegali imeripotiwa amepona majeraha hayo na …
-
Ile inshu ya kuongeza mkataba ya staa wa Simba Emmanuel Okwi ni kama inaelekea mwishoni baada ya staa huyo kukubaliana baadhi ya vipengele na vigogo wa Simba walioko nchini Misri …
-
Timu za soka za Tanzania na Kenya zimeanza vibaya mechi za ufunguzi za kombe la mataifa ya Afrika baada ya zote kukubali kipigo cha mabao mawili kwa bila dhidi ya …
-
Mganda Emmanuel Okwi amesaidia timu yake ya taifa kuibuka na ushindi wa magoli mawili kwa bila dhidi ya Kongo inayonolewa na kocha wa Yanga sc Mwinyi Zahera ambaye anamsaidia Frolent …
-
Steve Mvoue, son to former Indomitable Lioness skipper Marie Mvoue is eying a spot in Cameroon’s provisional 34-man squad for the finals. The strong and pacy 17-year-old who made AFCON …