Aliyekuwa kocha mkuu wa Simba Sc kwa msimu wa 2019/2020,Patrick Aussems amepata dili la kuinoa Black Leopard ya Afrika Kusini kwa kipindi cha miaka mitatu. Aussems raia wa Ubelgiji akiwa …
Tag:
afrika kusini
-
-
Leo asubuhi Simba sc ilikua na mechi ya kirafiki na timu ya Orbret Tvet ya nchini humo katika kujiandaa na msimu wa ligi kuu na michuano ya kimataifa ambapo timu …
-
Mwanariadha wa kike kutoka Afrika ya Kusini Caster Semenya ameibuka mshindi katika mbio za mita 2,000 zilizofanyika jijini Paris Ufaransa ukiwa ni ushindi wake wa kwanza tangu awasilishe rufaa yake …