Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) Emmanuel Amunike ni moja kati ya makocha waliomba kazi ya kuinoa timu ya taifa ya Zambia (Chipolopolo) baada ya …
amunike
-
-
Aliyekua kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) Emmanuel Amunike amelishitaki shirikisho la soka nchini (Tff) kwa shirikisho la soka duniani (Fifa) kutokana na kutolipwa stahiki zake. …
-
Kufuatia kufukuzwa kwa kocha wa Taifa stars Emmanuel Amunike makocha wengi wamewasilisha wasifu wao katika shirikisho la soka la Tanzania(Tff) ili kupata nafasi ya kuinoa timu hiyo. Kocha huyo aliyewahi …
-
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) Emmanuel Amunike amemvaa kiungo wa Yanga Feisal Salum “Fei toto” juu ya kadi za njano anazopata mara kwa mara. Kocha huyo mnigeria …
-
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) Emmanuel Amunike amemuita kikosini beki wa Azam Fc David Mwantika kwenda kuchukua nafasi ya mchezaji mwenzake wa klabu hiyo Aggrey Morris …