Bondia kutoka nchini Ajentina Hugo Santillan mwenye umri wa miaka 23 amefariki dunia kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kupambana na Eduardo Abreau taarifa iliyothibitishwa na shirikisho la ngumi duniani. …
Tag: