Tetesi zinaeleza kuwa Mesut Oezil ambaye ni mzaliwa wa Uturuki na raia wa Ujerumani hajajumuishwa kwenye kikosi cha wanasoka 25 kinachotegemewa na Arsenal kwenye kampeni za Europa League msimu huu …
Arsenal
-
-
Premier League msimu huu umeanza vizuri sana baada ya wikiendi iliyopita kuwepo na mtanange wa kukata na shoka,huku jumatatu ya kesho Liverpool watawakaribisha maasimu wao Arsenal katika uwanja wao wa …
-
Kocha mkuu wa Arsenal,Mikel Arteta anaamini kuwa mshambuliaji wake namba moja Pierre Emerick Aubameyang atasaini dili jipya Emirates kwani hii ni timu yake bora na wakiwa pamoja watafanya mambo makubwa. …
-
Nahodha wa kikosi cha Arsenal,Pierre Emerick Aubameyang ameiongoza timu yake kutwaa mataji mawili muhimu mfululizo kwa msimu wa 2019/2020 ambayo ni kombe la FA na ngao ya jamii lililopatikana kwenye …
-
Wolves, Newcastle na Everton ni miongoni mwa vikosi zinavyowania saini ya beki wa Arsenal Maitland-Niles ambaye anatazamiwa kuondoka Emirates mwishoni mwa Agosti, 2020. Beki huyo ambaye pia ni mzaliwa wa Uingereza …
-
Ratiba ya Premier League kwa msimu wa 2020/21 imetolewa leo Alhamisi ambapo mechi zitaanza kuchezwa Septemba 12, mwaka huu kwa ufunguzi wa mechi sita huku Septemba 14 zitachezwa mechi mbili. …
-
Pierre-Emerick Aubameyang amekubali kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu ndani ya kikosi chake cha Arsenal ambapo mshahara wake unakadiriwa kuwa pauni 250,00 kwa wiki. Aubameyang alikuwa kwenye mpango wa kuondoka …
-
Arsenal imekamilisha usajili wa winga Mbrazil,Willian Borges Da Silva kwa dili la miaka mitatu leo Agosti 14 akiwa kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Chelsea. Willian amedumu …
-
Hatimaye Manchester United imemalizana na Alexis Sanchez baada ya klabu ya Inter Milan kukubali kumsajili raia huyo wa Chile kwa pauni milioni 13.5 ambapo mkataba wake utakuwa ni wa miaka …
-
Mshambuliaji Pierre Emerick Aubameyang ameifanya Arsenal kutwaa ubingwa wa kombe la FA mara ya 14 baada ya kuwafunga Chelsea mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali ya kombe la FA kwenye …