Ni rasmi sasa klabu ya Yanga sc imemuuza kiungo mshambuliaji wake Stephan Aziz Ki kwenda katika klabu ya Wydad Athletic ya nchini Morocco kwa dau linalokadiriwa zaidi ya shilingi bilioni …
Aziz Ki
-
-
Kiungo wa Yanga SC Stephane Aziz Ki na mlinzi wa Simba SC na Valentino Nouma wameachwa katika kikosi cha Burkina Faso kilichoitwa jana na kocha Brama Traore kwaajili ya michezo …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki anatarajia kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kusalia klabuni hapo baada ya kufikia makubaliano na mabosi wa klabu hiyo wiki …
-
Wakala wa nyota wa Yanga SC, Stephan Aziz Ki aitwaye Zambro Traore yupo nchini kujadiliana na Yanga SC juu ya mteja wake kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kukipiga ndani kikosi …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki ameibuka kuwa mchezaji bora mwezi Machi msimu wa ligi kuu kwa msimu wa baada ya kutangazwa na bodi inayosimamia ligi kuu …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki leo ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa klabu yake inayodhaminiwa na shirika la bima la taifa nchini(NIC) baada ya …
-
Viungo washambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Azizi Ki na Pacome Zouzoua wamezua hofu kuelekea mchezo dhidi ya Simba kutokana na majeraha ambayo waliyapata katika mchezo uliopita dhidi ya …
-
Mchezaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu nchini kwa mwezi April akiwashinda Jean Baleke na Ayoub Lyanga wa Azam Fc …
-
Staa wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki ameitwa katika kikosi cha timu yake ya Taifa ya Burkina Faso kinachojiandaa na michezo miwili ya kimataifa yakalenda ya shirikisho la …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki amechelewa mchezo dhidi ya Ruvu Shooting baada ya kugundulika kuwa ana maambukizi ya virusi vya Covid 19 katika nchi ya …