Klabu ya Yanga sc leo imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya Silver General Investment ambapo mashabiki wa klabu hiyo na Watanzania wote wanaweza kukopeshwa simu na kulipa kwa …
biashara
-
-
Katika kujiweka sawa kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika klabu ya Simba sc inaangalia uwezekano wa kumsajili beki wa timu ya taifa ya Burundi anayecheza katika klabu …
-
Klabu ya Yanga sc imekua klabu ya kwanza Tanzania kushiriki maonyesho ya kibiashara ya kimataifa sabasaba baada ya kuweka banda maalumu lenye bidhaa mbalimbali za klabu hiyo. Banda hilo lililopambwa …
-
FC Barcelona hawana bajeti ya usajili kwa msimu wa kiangazi na wanaweza kutegemea tu pesa zitakazopatikana kupitia mauzo ya wachezaji watakaouzwa dirisha kubwa la usajili kutokana na athari za  janga …
-
Wiki moja iliyopita uongozi wa klabu ya Njombe Mji ulitangaza mpango wa kuipiga bei klabu hiyo, mchakato huo bado unaendelea lakini hadi sasa bado hajapatikana mteja ambaye yuko tayari kutaka …
-
Mfanya biashara Mohammed Dewji maarufu ksma Mo,ametajwa tena na Ripoti mpya ya jarida la Forbes kuwa ni mfanya biashara Tajiri mdogo kuliko wote Afrika kwa mwaka wa sita mfululizo akikadiriwa kuwa …
-
Straika wa timu ya Biashara United ya mkoani Mara Mnigeria Innocent Edwin yupo kwenye mazungumzo ili kujiunga na timu ya Yanga kwenda kuboresha safu ya ushambuliajia ya klabu hiyo. Licha …
-
Mfanyabiashara nguli na maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz amesema yupo tayari kuidhamini na kuendelea kuisaidia Yanga kwa maana ndio klabu anayoishabikia toka utotoni japo hayupo tayari kuwa mfadhili au mwekezaji …