Klabu ya Simba Sc imepoteza mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa …
cafcc
-
-
Beki wa klabu ya Simba Sc Che Malone Fondoh anatarajiwa kuukosa mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Al Masry unaotarajiwa kufanyika nchini Misri Aprili 2 2025. Beki …
-
Klabu ya Simba Sc imewatangazia mashabiki wake walionunua tiketi kuelekea mchezo wao wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Cs Constantine watatumia tiketi hizo kwenye mchezo …
-
Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) limeifungia klabu ya Simba kucheza mechi moja ya CAF bila mashabiki na kulipa kiasi cha dola 40,000 sawa na Tsh milioni 101 kutokana na vurugu …
-
Beki wa klabu ya Simba Sc Che Malone Fondoh ameomba msamaha kutokana na makosa ambayo ameyafanya kwenye mechi dhidi ya Bravo’s do Maquis yaliopelekea Bravo’s kupata goli 1. Shukrani kwa …
-
Klabu ya soka ya Simba Sc imefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kupata sare ya 1-1 dhidi ya timu ya …
-
Kipa Aishi Manula ametemwa katika msafara wa kikosi cha timu ya Simba sc kilichoondoka mapema leo kuelekea nchini Angola kuivaa klabu ya Bravos do Marquiz ya nchini humo katika mchezo …
-
Staa wa klabu ya Simba Sc Mohammed Hussein amesema kuwa mchezo dhidi ya timu ya Bravos ya Angola sio rahisi kutokana na timu hiyo kuwa na wachezaji wazuri. Hussein amesema …
-
Bao pekee la Jean Charles Ahoua dakika ya 34 ya mchezo wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Cs Sfaxien limeihakikishia Simba sc alama tatu …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Ellie Mpanzu amefanikiwa kupata leseni ya Shirikisho la Soka barani Afrika (Caf) na sasa atatumika katika mchezo wa hatua ya makundi ya kombe …