Kikosi cha Simba kimerejea Dar Es Salaam leo Mei 26 kutoka Visiwani Zanzibar baada ya kupoteza taji la kombe la Shirikisho barani Afrika baada kufungwa kwa matokeo ya jumla ya …
cafcc
-
-
Klabu ya Simba Sc imepoteza mchezo wa fainali ya pili ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kukubali sare ya 1-1 dhidi ya Klabu ya Rs Berkane …
-
Beki wa kati wa Simba Sc Abdulrazack Hamza (22) amefanya mazoezi na wachezaji wenzake kwaajili ya mechi ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya RS …
-
Kipa wa klabu ya Simba Sc Aishi Manula amekua ni miongoni mwa magolikipa wa klabu hiyo waliosafiri na msafara wa timu hiyo kuelekea Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mechi ya …
-
Klabu ya Rs Berkane imetanguliza matumaini ya kutwaa taji la kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kuifunga timu ya Simba sc kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza wa …
-
Msafara wa wachezaji na Viongozi wa klabu ya Simba Sc umewasili salama nchini Morocco kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho …
-
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limemteua mwamuzi wa kati Pierre Ghislain Atcho kutoka Gabon kusimamia mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya wenyeji, RS Berkane ya …
-
Imefahamika kuwa klabu ya Simba Sc itacheza mchezo wake wa marudiano wa Fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Rs Berkane katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar …
-
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kuifunga klabu ya Al Masry kwa chamoto ya mikwaju ya …
-
Klabu ya Simba Sc imemualika Mtume Bonifasi Mwamposa kuwa moja ya wageni rasmi katika mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Al Masry utakaofanyika April 9 2025 katika uwanja wa …