Klabu ya Arsenal imefanikiwa kuibuka na alama tatu katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Stamford Bridge na kufanikiwa …
Chelsea
-
-
Jahazi lilikua limeshazama kwa Manchester United ambao walilazimika kusawazisha dakika za mwishoni za mchezo wa ligi kuu dhidi ya Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge ambapo makosa ya kiungo Scott …
-
Klabu ya Chelsea imelikosa kombe la Fa baada ya kufungwa kwa penati na Liverpool Fc katika mchezo wa fainali uliofanyika katika dimba la Wembley nchini Uingereza. Mpaka dakika 90 za …
-
Klabu ya Chelsea imeshindwa kufuzu hatua ya nusu ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya licha ya kuibuka na ushindi wa 3-2 ugenini dhidi ya Real Madrid katika uwanja wa …
-
Mabao matatau ya Karim Benzema yalitosha kutuma salamu kwa Chelsea kujipanga katika mchezo ujao wa hatua ya marudiano jijini Madridi baada ya kuwaadhibu kwa jumla ya mabao 3-1 katika mchezo …
-
Tajiri wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amekubali kuuzwa kwa klabu ya Chelsea huku Serikali ya Uingereza ikisimamia kila kitu ikiwemo kuchukua faida ya uuzwaji wa timu hiyo inayofanya vizuri …
-
Joel Jaffer A’ita amekuwa gumzo baada ya kuwasilisha ombi la kuinunua Klabu ya Soka ya Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza ambayo imewekwa sokoni na Tajiri Roman Abramovich kutokana na …
-
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ubelgiji na Chelsea Romelu Lukaku hatimaye amemaliza tofauti zake na kocha mkuu wa timu hiyo Thomas Tuchel kwa kuomba msamaha na kurudishwa kikosini. Mchezaji …
-
Vita ya kuwania taji la ligi kuu soka nchini Uingereza imeendelea usiku wa kuamkia leo ambapo Chelsea alishuka dimbani darajani kuikabilisha Everton,huku Liverpool nao wakiwa nyumbani waliwakaribisha Newcastle United kwenye …
-
Klabu ya Chelsea imefanikiwa kuifunga Juventus Fc mabao 4-0 katika mchezo wa michuano ya klabu bingwa barani ulaya(Uefa) uliofanyika katika uwanja wa Stamford Bridge huku timu hiyo ikfanikiwa kuonyesha kiwango …