Azam Fc imezidi kujiwekea rekodi nzuri ndani ya msimu huu mpya wa ligi kuu bara 2020/2021 baada kufika raundi ya sita pasipo kufungwa wala kutoa sare ya kufungana. Kikosi hicho …
Tag:
chirwa
-
-
Azam FC imemuongezea mkataba mshambuliaji , Obrey Chirwa huku uongozi wa timu hiyo umeonekana hauna mpango wa kumuongezea mkataba nyota wake, Donald Ngoma. Uongozi wa Azam FC Unadai kuwa Ngoma …
-
Klabu ya soka ya Azam fc imeiwashia moto klabu ya Allince baada ya kuifunga mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana jioni ya …
-
Mshambualiaji wa Azam fc Obrey Cholla Chirwa amejisalimisha klabuni hapo na kusaini mkataba mpya wa mwaka mmoja baada ya kuwazungusha viongozi wa klabu hiyo kwa muda mrefu bila sababu zisizoeleweka. …
-
Klabu ya Azam Fc imewatema baadhi ya mastaa wa kikosi chake cha kwanza baada ya mikataba yao kuisha hivyo uongozi kuona hakuna haja ya kuendelea kuwa nao katika kikosi kipya …