As Roma wamemsajili beki wa Manchester United,Chris Smalling kwa kandarasi ya miaka mitatu huku wakiweka mezani kiasi cha bilioni 1.9. Usajili huo ulikamilishwa na shirikisho la soka la Italia dakika …
Tag:
chris smalling
-
-
Manchester United inadaiwa kumueka sokoni beki wake wake wa kati, Chris Smalling ambaye anahitajika na klabu As Roma,na Inter Milan. Smalling aliwahi kuichezea Roma kwa mkopo msimu uliopita katika mechi …