Tetesi zinaeleza kuwa Mesut Oezil ambaye ni mzaliwa wa Uturuki na raia wa Ujerumani hajajumuishwa kwenye kikosi cha wanasoka 25 kinachotegemewa na Arsenal kwenye kampeni za Europa League msimu huu …
emirates
-
-
Kocha mkuu wa Arsenal,Mikel Arteta anaamini kuwa mshambuliaji wake namba moja Pierre Emerick Aubameyang atasaini dili jipya Emirates kwani hii ni timu yake bora na wakiwa pamoja watafanya mambo makubwa. …
-
Wolves, Newcastle na Everton ni miongoni mwa vikosi zinavyowania saini ya beki wa Arsenal Maitland-Niles ambaye anatazamiwa kuondoka Emirates mwishoni mwa Agosti, 2020. Beki huyo ambaye pia ni mzaliwa wa Uingereza …
-
Mshambuliaji Pierre Emerick Aubameyang ameifanya Arsenal kutwaa ubingwa wa kombe la FA mara ya 14 baada ya kuwafunga Chelsea mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali ya kombe la FA kwenye …
-
Juhudi za wachezaji wa Arsenal uwanjani siku ya jana umewasaidia mbele ya mabingwa wa ligi kuu England,Liverpool baada ya kuwafunga mabao 2-0 katika uwanja wa nyumbani Emirates. Mabao ya Arsenal …
-
Arsenal inayoshika nafasi ya tisa ikiwa na alama 50 itakuwa na shughuli pevu leo ikipambana dhidi ya Liverpool ambao wapo kileleni wakiwa na alama 93 katika mechi 35. Mechi hiyo …
-
Kocha Mkuu wa zamani wa klabu ya Arsenal ,Unai Emery amesema kuwa hakuwa anahitaji saini ya Nicolas Pepe kwani alikuwa hajakomaa na hawezi kutafuta matokeo binafsi ndani ya Uwanja isipokuwa …
-
Mke wa mshambuliaji Mauro Icard wa Paris Saint -Germain (PSG) anayecheza huko kwa mkopo akitokea Inter Milan,Wanda Nara amechochea suala la mumewe kusepa ndani ya timu hiyo na kuibukia Arsenal. …
-
Mlinda mlango wa Arsenal, Bernd Leno amefunguka kuhusu Mbrazil kinda Gabriel Martinelli kwa kusema kuwa atakuja kuwa staa mmoja mkubwa sana kwenye soka la dunia . Martinelli aliyewasili Emirates akitokea …
-
Mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyanga amewapa mashabiki wa Arsenal kidokezi kuwa muda wake wa kuhudumu tena Emirates umekaribia kufika tamati kwa kuwa anatawaliwa na kiu ya kutimiza ahadi ya kucheza Real Madrid …