Manchester United imeingia kwenye rada ya kumnasa nyota wa Real Madrid, Gareth Bale ili ajiunge na kikosi hicho kwa ajili ya msimu mpya wa 2020/21 kabla dirisha la usajili halijafungwa …
epl
-
-
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba amerejea katika mazoezi baada ya kuwa nje kutokana na kupata maambukizi ya virusi vya Corona. Pogba ana uwezekano mkubwa wa kutocheza mchezo wa kwanza …
-
Tarifa zinaeleza kuwa Juventus ina mpango wa kumpatia mkataba mpya Paulo Dybala kwani ni mchezaji bora na tegemeo ndani ya timu hiyo. Dybala anakaribia kumaliza mkataba wake ndani ya Juventus …
-
Aston Villa imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji ,Ollie Watkins akitokea timu ya Brenford kwa kandarasi ya miaka miatano. Watkins amesajiliwa Aston Villa kwa paundi milioni 28 ambayo inaweza kufikia hadi …
-
Kiungo wa Manchester City,Kelvin De Bruyne ametawazwa kama mwanasoka bora wa kiume wa mwaka na chama cha wanaume PFA. De Bruyne amempa sifa zote kocha wake mkuu ,Pep Guardiola kwani …
-
Taarifa zinaeleza kuwa Aston Villa ina mpango wa kumsajili beki wa kati wa Sampdoria,Omar Colley ambaye ni rafiki wa nahodha wa timu ya Taifa la Tanzani( taifa stars),Mbwana Samatta. Colley …
-
Kocha mkuu wa Arsenal,Mikel Arteta anaamini kuwa mshambuliaji wake namba moja Pierre Emerick Aubameyang atasaini dili jipya Emirates kwani hii ni timu yake bora na wakiwa pamoja watafanya mambo makubwa. …
-
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa Stars) Mbwana Samatta, ataendelea kukipiga katika klabu ya Aston Villa msimu ujao wa ligi kuu England baada ya timu yake kunusurika kushuka daraja …
-
Liverpool imetangaza kumalizana na beki wa klabu ya Olympiacos,Kostas Tsimikas  kwa dili la muda mrefu kwa dau la pauni milioni 11.75. Tsimikas amekuwa kwenye ubora mkubwa licha ya kutokuwa na …
-
Klabu ambayo nyota Mtanzania,Mbwana Samatta anaichezea nchini England,Aston Villa imepoteza matumaini ya kubaki ndani ya Ligi kuu England baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Everton. Aston Villa walianza …