Mabao ya Saimon Msuva 68′ na Abubakar Salum 90+4 yalitosha kuipa ushindi wa 2-1 timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) dhidi ya Equatorial Guinnea katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali …
Tag:
equatorial guinnea
-
-
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) Mbwana Samata ameamua kufunguka kuelekea mechi dhidi ya Equatorial Guinnea katika kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika zitakazofanyika nchini Cameroon mwaka …