Kiungo mkabaji wa Simba Sc, Gerson Fraga atakuwa nje kwa wiki tatu hadi nne baada ya kupata majeraha ya goti siku ya Jumapili ilipocheza na Biashara United. Taarifa hiyo imethibitishwa …
Tag:
gerson fraga
-
-
Gerson Fraga Vieira wa Simba Sc ambaye pia ni raia wa Brazil ameufurahia usajili wa kiungo kutoka Lusaka Dynamosi iliyoko Zambia,Larry Bwalya kutokea kwani ni miongoni mwa usajili bora ambao …
-
Kufuatia kipigo cha mabao 2-1 walichokutana nacho simba sc dhidi ya Kmc hapo jana katika uwanja wa Chamazi baadhi ya wadau wa soka wamehoji kuhusu viwango vya wachezaji kutokana Brazil …