Licha ya kubadilisha daktari bado ugonjwa ule ule kwa klabu ya Azam fc baada ya kulazimishwa suluhu na Gwambina katika uwanja wa Gwambina Complex mjini Misungwi. Azam fc ambayo ilimtimua …
gwambina fc
-
-
Licha ya jitihada za klabu ya Yanga sc kutaka kuibuka na alama zote tisa kanda ya ziwa lakini juhudi na kujitoa kwa wachezaji wa Gwambina zimesababisha matokeo ya suluhu katika …
-
Leo katika ligi kuu Tanzania bara klabu ya Yanga sc itavaana na Gwambina fc katika mchezo unaotarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua ambao utafanyika katika uwanja wa Gwambina Complex katika …
-
Gwambina FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ihefa Fc katika mchezo wa leo wa raundi ya tano ligi kuu bara msimu 2020/2021. Mchezo huo ulichezwa uwanja wa …
-
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Septemba 15, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya …
-
Nyota aliyemaliza msimu wa 2019/2020 akiwa Lipuli Fc iliyoshuka daraja na kuibukia Gwambina Fc,Darueshi Saliboko ameweka wazi kupambana na kujitengenezea mazingira ya kuwania kiatu cha dhahabu katika msimu wa ligi …