Klabu ya Simba sc imeshindwa kuibuka na ushindi katika mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa barani Afrika ikikubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Horaya katika mchezo uliofanyika nchini …
Horoya fc
-
-
Mashabiki wa soka nchini wamepigwa na taharuki kuhusu bei halisi aliyouzwa aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Yanga Heritier Makambo baada ya aliyekuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya klabu hiyo …
-
Habari ya mjini ni kwamba yule straika anayefunga kwa kichwa na miguu yote Heritier Ebenezer Makambo anarudi Jangwani baada ya kuuzwa msimu uliopita katika klabu ya Horoya Fc ya nchini …
-
Klabu ya Horoya AC ya Guinea imemtangaza Lamine N’diaye raia wa Senegal kuwa kocha Mkuu akichukua nafasi ya mfaransa Didier Gomes da Rosa aliyefurushwa. N’diaye aliwahi kuvinoa vilabu vya Garoua,Al …
-
Klabu ya Azam Fc imeendelea kuwarahisishia maisha wachezaji wake waliomaliza mikataba na klabu hiyo baada ya kutangaza kuwatema na nyota hao kusaini klabu zingine za ndani na nje ya nchi …