Timu ya soka ya KCCA kutoka nchini Uganda wamefanikiwa kuwa mabingwa wa michuano ya kombe la Kagame baada ya jana kuifunga timu ya Azm fc katika mchezo wa fainali uliochezwa …
Tag:
kagame
-
-
Mshambuliaji wa Mbeya City Fc Eliud Ambokile amejiunga na wababe wa soka la Afrika kutoka Kongo Tp Mazembe kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Black Leopard ya Afrika ya Kusini …
-
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo umeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Etienne Ndayiragije, kwa ajili ya kuinoa timu hiyo kuanzia msimu …
-
Timu ya Yanga Sc imepokea mwaliko kutoka shirikisho la soka la Afrika mashariki na kati (cecafa) kushiriki katika mashindano ya kombe la kagame kwa mwaka 2019 yatakayofanyika nchini Rwanda. Katika …