Klabu ya Namungo Fc maarufu kama Wauaji wa Kusini tayari wamewasili mjini Bukoba kwa ajili ya mchezo dhidi ya Kagera sugar utakaopigwa uwanja wa kaitaba siku ya Jumatano Oktoba 4,2023. …
Tag:
kagera
-
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kufika salama mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar utakaofanyika siku ya Jumamosi katika uwanja wa Kaitaba mkoani humo. …
-
”Kama kawa” ndo msemo rahisi sana kuusikia kijiweni kama mambo yakiwa yanaenda kama yalivyopangwa,Basi ndio ilivyokua katika mechi za kutafuta timu zitakazo shuka na kupanda ama kubaki ligi kuu(play off) …