Klabu ya Simba sc imefanikiwa kupunguza pengo la alama kati yake na Vinara wa ligi kuu nchini Yanga sc baada ya jana kuifunga klabu ya Kagera Sugar kwa mabao 2-0 …
kagera sugar
-
-
Ni nafasi ya Simba sc kupunguza pengo la alama baina yake na Yanga sc wakati watakapoivaa Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaofanyika katika uwanja wa Uhuru …
-
Mbeya City imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa leo Octoba 23,wa ligi kuu bara uliochezwa uwanja wa Kaitaba. Kwa mara ya kwanza Mbeya …
-
Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya sita inaendelea leo Octoba 14,ambapo timu nane zitavaana katika viwanja vinne tofauti kwaajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Raundi ya tano ilimalizika na kuwaacha …
-
Prince Dube mwenye hasira ya kuchukua kiatu cha dhahabu ndani ya msimu huu mpya wa ligi kuu 2020/2021 ambacho kwa sasa Meddie Kagere anakishikilia ,anazidi kujiwekea akiba ya mabao ndani …
-
Licha ya kikosi cha Yanga kuwa safarini mkoani Kagera kuwavaa Kagera Sugar imebainika mastaa saba wameachwa jijini Dar es salaam kuwasubiri Mtibwa Sugar watakaovaana nao Septemba 27. Mastaa hao saba …
-
Yanga Sc itacheza mechi ya kirafiki kesho dhidi ya Mlandege fc kutoka visiwani Zanzibar katika uwanja wa Azam complex mida ya saa 1 usiku. Wanajangwani hao wameamua kujipima nguvu katika …
-
Uongozi wa Kagera Sugar umeamua kuachana na nyota wao nane ambao wamemaliza mikataba yao kwa msimu wa 2019/20 kulingana na ripoti ya kocha wao mkuu,Meck Maxime. “Wachezaji ambao tumeachana nao …
-
Mchezaji wa Azam Fc,Mbaraka Yusuph amesaini kandarasi ya miaka miwili kuichezea timu yake ya zamani ya Kagera Sugar baada ya mkataba wake kumalizika ndani ya Azam. Mbaraka alisajiliwa hapo awali …
-
Ofisa mtendaji mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ amesema kuwa wamewaacha nyota wao watatu ndani ya kikosi hicho ikiwa ni mpango wa kufanya maboresho ndani ya kikosi hicho. Popat …