Bao pekee lililofungwa na Bernad Morrison dakika ya 78 limetosha kuipa alama 3 za mchezo klabu ya Yanga sc katika mchezo wa ligi kuu katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. …
kagera sugar
-
-
Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) imebadilisha ratiba ya mchezo namba 338 wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Yanga uliokuwa ufanyika Alhamisi ya July 09 …
-
Klabu ya Yanga sc  imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam baada ya kuifunga timu ya Kagera Sugar kwa mabao 2-1 mchezo uliofanyika …
-
Yanga itajitupa uwanjani kutetea nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa kwa kuivaa Kagera Sugar katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam katika michuano ya kombe la Shirikisho. Yanga sc …
-
Droo ya kombe la shirikisho la Azam imewakutanisha wababe wa soka la Tanzania Simba na Azam katika hatua ya robo fainali huku mshindi kati yao atakutana na mshindi kati ya …
-
Mshambuliaji wa zamani wa Kagera Sugar,Kassim Khamis aliyechomoa dili la kujiunga na vigogo wa Kariakoo Simba na Yanga anapata tabu sana ndani ya Azam FC baada ya kuwekwa benchi kwa …
-
Ligi kuu Tanzania Bara, ligi daraja la kwanza, ligi ya wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko wa watu imesitishwa kuanzia leo na Serikali. Hii ni kutokana na kuisaidia …
-
Raisi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameelekeza Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi Kuu kuitisha kikao cha dharura kesho Machi 18,2020. Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika kwenye …
-
Unamkumbuka mshambuliaji wa zamani wa Simba sc na Kagera sugar?ambaye alitamba kisha akasajiliwa Azam fc? Baada ya kuwa nje ya dimba takribani mwaka mmoja akiuguza majeraha ya goti, mshambuliaji wa …
-
Kagera Sugar iliyo chini ya Mecky Maxime imewalamba Yanga mabao 3-0 kwenye mchezo wa ligi kuu bara uliochezwa leo Januari 15 uwanja wa Uhuru. Yusuph Mhilu amekuwa wa kwanza katika …