Kikosi cha Yanga leo kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano kwenye uwanja wa Taifa (kama hakutakuwa na mabadiliko). …
kagera sugar
-
-
Timu ya wananchi Yanga Sc inatarajia kucheza mechi yao ya kwanza na Kagera Sugar kwa mwaka 2020 ikiwa ni mechi ya pili ya ligi kuu kwa mwaka huu baada ya …
-
Kocha wa Kagera Sugar Mecky Mexime anatajwa kutua jangwani muda wowote kumsaidia Bonifasi Mkwasa baada ya timu hiyo kuvunja benchi la ufundi lililokua likiongozwa na Mwinyi Zahera na Noel Mwandila. …
-
Timu ya soka ya Kmc imepoteza mchezo wa ligi kuu nyumbani baada ya kufungwa 2-1 na Kagera sugar katika mchezo uliofanyika jijini Dar es salaam katika uwanja wa uhuru. Mabao …
-
Klabu ya Azam Fc imetoa suluhu na timu ya Kagera sugar katika mchezo wa ligi kuu ya nchini uliochezwa katika uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam. Wenyeji walijitahidi kutafuta …
-
Kocha wa Kagera Sugar Mecky Mexime ameukubali uwezo wa kikosi cha Simba baada ya kufungwa mabao 3-0 katika uwanja wa nyumbani wa Kaitaba uliopo mjini Bukoba mkoani Kagera mchezo uliofanyika …
-
Mshambuliaji hatari wa Simba sc Meddie Kagere amemaliza ubishi wa kocha wa Kagera sugar Mecky Mexime baada ya kuisaidia Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera sugar …
-
Timu ya Simba sc kesho itasafiri kwenda kanda ya ziwa kucheza na Kagera sugar na Biashara united ya mkoani Mara katika michezo ya ligi kuu Tanzania bara. Simba sc itasafiri …