Taarifa za kuaminikia kutoka ndani ya viunga vya Yanga imebainisha kuwa nyota Issa Bigirimana na Maybin Kalengo hawatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kuelekea usajili wa dirisha dogo Nyota hao …
kalengo
-
-
Iko hivi mastaa wawili wa klabu ya Yanga Mybin Kalengo na Issa Bigirimana wamerejea nchini kwao kwenda kujiuguza majereaha waliyoyapata wakati wakiitumikia timu hiyo hapa nchini. Kalengo amerejea nchini Zambia …
-
Ni kama hana bahati kwani licha ya kushindwa kucheza mara kadhaa kutokana na kuandamwa na  majeraha straika Mzambia wa Yanga Mybin Kalengo amevunjika mguu na kulazimika kupelekwa hospitali haraka. Nyota …
-
Mshambuliaji mpya wa Yanga sc Mybin Kalengo amepewa jezi namba 19 iliyokuwa ikivaliwa na mshambuliaji Heritier Makambo aliyejiunga na Horoya Fc ya nchini Guinnea. Kalengo 19 aliyesajiliwa na Yanga akitokea …
-
“Jangwani kumekucha” ndio msemo unaoweza kuutumia kuelezea mishemishe za usajili zinazoendelea katika klabu hiyo yenye makao makuu Jangwani Kariakoo Dar es salaam baada ya kuendeleza vurugu za usajili ili kujihakikishia …